PODCAST

Mshairi Bashiru Abdallah wa Wino wa Dhahabu

Nina furaha ya kumualika kwenye MSHAIRIKASTI mshairi kijana na mwenye kipaji wa Kiswahili kutoka Tanzania, Bashiru Abdallah, ambaye amechapisha diwani yake ya pili iitwayo Wino wa Dhahabu.

BLOG POSTS, BOOKS, eBOOKS, KISWAHILI KINA WENYEWE, PAPERBACK, ZANZIBAR DAIMA PUBLISHING

Mfalme Yuko Uchi: Diwani Mpya ya Mohammed Ghassani

NJOO uniulize Mohammed Khelef Ghassani ni nani na nitakupa vitambulisho vyake kadhaa. Kila kimoja kati yavyo kitamsibu.  Kitajaa kama pishi. Continue reading “Mfalme Yuko Uchi: Diwani Mpya ya Mohammed Ghassani”