BLOG POSTS

TUFUNUWE KITABU: Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar cha Hashil Seif

Katika mfululizo ya maandishi yaliyoandikwa juu ya Mapinduzi ya Zanzibar ya Januari 1964, leo Ismail Jussa anatufunulia kurasa za kitabu cha Komredi Hashil Seif Hashil kinachosimulia maisha yake binafsi na ushiriki wake na chama chame cha Umma kwenye tukio hilo lililoibadilisha kabisa Zanzibar.

Continue reading “TUFUNUWE KITABU: Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar cha Hashil Seif”
BLOG POSTS

TUFUNUWE KITABU: Babu: I Saw the Future and It Works

Profesa Abdulrahman Mohamed Babu alikuwa mmoja kati ya wanasiasa mashuhuri wa Zanzibar, ambao fikra zake ziliwaathiri wanasiasa wengi wakubwa na wadogo wa zama zake lakini – kama ilivyo kwa wanasiasa wengine wa aina yake – si mengi yanayofahamika miongoni mwa vijana wa sasa kumuhusu. Ismail Jussa anatupitisha kwenye kitabu cha ‘Babu: I Saw the Future and It Works’ kilichohaririwa na Marehemu Profesa Haroub Othman kikikusanya maandishi ya mwenyewe Profesa Babu na wasomi wengine.