UCHAMBUZI

Wazanzibari hatulitambui tamko la SMZ

Kuelekea uvamizi wa Uingereza na Marekani dhidi ya Iraq mwaka 2003, waandamanaji waliokuwa wakipinga uvamizi huo jijini London walibeba bango linalosomeka: “No, Blair. Not in our name!” Waandamaji hawa walikuwa wakimkana aliyekuwa Waziri Mkuu wao, Tony Blair, aliyekuwa ameshirikiana na Rais George Bush wa Marekani kushinikiza kwamba uvamizi huo ungelikuwa ni kwa maslahi ya kiulinzi na kiusalama si kwa mataifa yao tu, bali pia kwa dunia. Walikuwa wakipeleka ujumbe wao kwamba wao kama Waingereza hawampi idhini ya kufanya uvamizi huo. Continue reading “Wazanzibari hatulitambui tamko la SMZ”