UCHAMBUZI

Funzo la uamuzi wa Mahakama ya Juu ya Kenya ni kuwa demokrasia hujengwa kutokea ndani, sio nje

Uamuzi wa tarehe 1 Septemba 2017 wa Mahakama ya Juu ya Kenya kuufuta uchaguzi uliompa ushindi rais aliye madarakani na kuamuru kurejewa upya, umezua maoni mengi na yanayofanana ndani na nje ya taifa hilo la Afrika Mashariki. Continue reading “Funzo la uamuzi wa Mahakama ya Juu ya Kenya ni kuwa demokrasia hujengwa kutokea ndani, sio nje”