He is in the A-List of the contemporary Swahili poets. With his own efforts, he has been able to publish four books – Mama Usihuzunike being the latest. He is joining me in the CHAT to tell us his journey into the world of poetry.
Tag: Nassor Kharus
Kurasa Mpya: Fungamano la Malenga
Ushairi unatambuliwa kuwa miongoni mwa sanaa kongwe kabisa kwa mwanaadamu. Jamii yoyote inayojitambuwa kwa ukale na ukongwe wake, basi utaikuta ndani yake ikiwa na sanaa ya ushairi kama moja ya dalili za uwepo wake wa zama na zama. Haitoshi hayo, ushairi pia unachukuliwa na wasomi wa taaluma za kibinaadamu, kuwa moja ya nguzo kuu za ilimu ya falsafa. Kwa ujumla, fasihi – ambayo yenyewe ndiyo mama wa maarifa ya mwanaadamu – inabebwa na tanzu nyingi, na kongwe yao ni ushairi. Continue reading “Kurasa Mpya: Fungamano la Malenga”