Pale hadithi mbili zinapokutana njiani – moja ikiikimbia jana yake na nyengine ikiikimbilia kesho yake – panakuwa na fursa ya kujihakiki upya sio tu kama fanani na hadhira, bali pia kama wahusika wa hadithi zenyewe na kama watenda na watendwa wa mifumo yetu ya kisiasa na kijamii.
Continue reading “Puma: Alama ya sanaa katika kuponya majeraha ya kihistoria”