UCHAMBUZI

Januari 27: Walikuwa watu, hazikuwa nambari tu

Mwandishi nguli visiwani Zanzibar, Maalim Ally Saleh, ameandika makala makhsusi kuwakumbuka wahanga wa matukio ya Januari 26 na 27, 2001. Ni makala ambayo imeshiba taarifa za kweli na kila mwenye kuipenda na kuitakia mema Zanzibar, haachi kutiririkwa na machozi iwapo ataisoma.

tomondo Continue reading “Januari 27: Walikuwa watu, hazikuwa nambari tu”