Wakati Zanzibar inapata uhuru wake uliodumu kwa mwezi mmoja kabla ya kupinduliwa na kisha kuunganishwa na Tanganyika kulikoifanya iwe sehemu ya dola la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mwanadiplomasia wa Kimarekani, Don Petterson, alikuwa kwenye mwanzoni mwa kazi zake za kibalozi nchini Zanzibar. Kupitia kurasa za kitabu hiki, anazungumza alichokishuhudia na alivyokifahamu kwa mtazamo wa Kimarekani.
Continue reading “TUFUNUWE KITABU: Revolution in Zanzibar cha Don Petterson”Tag: Mapinduzi ya Zanzibar
TUFUNUWE KITABU: Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar cha Hashil Seif
Katika mfululizo ya maandishi yaliyoandikwa juu ya Mapinduzi ya Zanzibar ya Januari 1964, leo Ismail Jussa anatufunulia kurasa za kitabu cha Komredi Hashil Seif Hashil kinachosimulia maisha yake binafsi na ushiriki wake na chama chame cha Umma kwenye tukio hilo lililoibadilisha kabisa Zanzibar.
Continue reading “TUFUNUWE KITABU: Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar cha Hashil Seif”TUFUNUWE KITABU: Revolution in Zanzibar cha John Okello
Maandishi rasmi ya historia ya Zanzibar yanampuuzia sana John Okello, lakini mwenyewe aliwahi kuandika jinsi ulivyokuwa ushiriki wake kwenye Mapinduzi ya Januari 1964. Leo Ismail Jussa anatupitisha kwenye kurasa za kitabu cha REVOLUTION IN ZANZIBAR chake Okello.
Continue reading “TUFUNUWE KITABU: Revolution in Zanzibar cha John Okello”