Leo kwenye TUFUNUWE KITABU, tunakiangazia kitabu cha “Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru: Zanzibar na Mapinduzi ya Afrabia” kilichoandikwa na Dk. Harith Ghassany, kikijikita kwa kina kwenye tukio la Mapinduzi ya 1964 visiwani Zanzibar.
Continue reading “TUFUNUWE KITABU: Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru”