NJOO uniulize Mohammed Khelef Ghassani ni nani na nitakupa vitambulisho vyake kadhaa. Kila kimoja kati yavyo kitamsibu. Kitajaa kama pishi. Continue reading “Mfalme Yuko Uchi: Diwani Mpya ya Mohammed Ghassani”
Tag: kiswahili
Kuhusu Mwanamajumui
Kabla ya kuelezaa maana ya neno “mwanamajumui”, kuna mambo mawili ambayo ni muhimu kuyaeleza. La kwanza, ni kwamba kuna wasemao “mwanaumajumui”; na baadhi ya watu huidondosha hiyo u walitumiapo neno hilo. Continue reading “Kuhusu Mwanamajumui”
Kiswahili kina wenyewe, kienee lakini kisitokomee
Utangulizi
Kama zilivyo lugha nyingi zilizopata bahati ya kuwa kiunganisho baina ya wazungumzaji kutoka makabila na mataifa mengine, Kiswahili nacho kina wenyewe wenye asili nacho na kina watumiaji wa kawaida. Continue reading “Kiswahili kina wenyewe, kienee lakini kisitokomee”
Kalamu ya Mapinduzi: Aluta Continua
This is what Mohammed Ghassani writes as a dedication of this epic:
To the country that rose, then fell down before it stood up