KISWAHILI KINA WENYEWE

Baina ya mkandarasi na kandarasi – 2

Nimetangulia kusema kwamba hayo niliyoyaeleza kabla hayakuwa yamenishughulisha sana kwa sababu, mtu aweza kuwa na hiari ya kutumia maneno kandarasi/makandarasi au mkandarasi/wakandarasi, akusudiapo kuwa ni mtu. (Mimi nitaendelea kutumia kandarasi/makandarasi – tena bila ya wasiwasi wowote!) Continue reading “Baina ya mkandarasi na kandarasi – 2”

KISWAHILI KINA WENYEWE

Baina ya mkandarasi na kandarasi – 1

contractorsafety_img_4433Mmojawapo miongoni mwa washairi maarufu wa Tanzania, Khamis Amani Nyamaume (1926-1971), katika shairi lake labeti nne, liitwalo ‘Saa’, alitunga akasema:

Saa za huku na huko, zimekosana majira
Sababu ni mzunguko, haufuati duara
Sasa rai iliyoko, ni kubadilisha dira
Saa zatupa majira, mafundi zitengezeni… Continue reading “Baina ya mkandarasi na kandarasi – 1”

KISWAHILI KINA WENYEWE

Wapi neno mwanana hutumika?

abdilatif_abdalla_2Mtu mwanana, mti mwanana, upepo mwanana, LAKINI Kiswahili chanana, nyumba nyanana. Mzizi wa sifa hii ni -anana. Kwa hivyo, inahitaji kiambishi awali cha jina la kitu kinachopawa sifa. Najua kwamba kuna wengi watumiao “mwanana” kwa kila ngeli. Kwa maoni yangu, hicho si Kiswahili fasaha.

Continue reading “Wapi neno mwanana hutumika?”