Ni jambo gumu kuyazungumzia maandishi bila ya kumgusa mwandishi wake, khasa pale maandishi yenyewe yanapokugusa na kuchoma mithali ya hivi zilivyo tungo za Kalamu ya Mapinduzi na unapokuwa unamfahamu mwandishi binafsi. Continue reading “Kalamu ya Mapinduzi: Mapambano Yanaendelea”