BLOG POSTS

Maisha na Nyakati za Habib Ahmad bin Sumeit kupitia ‘Sufis and Scholars of the Sea’ cha Anne Bang

Wakati Ulimwengu wa Kiislamu ukikumbuka miaka 100 tangu kutawafu kwa ulamaa mkubwa wa Afrika Mashariki na Bahari nzima ya Hindi, Habib Ahmad bin Sumeit, Ismail Jussa anatupitisha kwenye kurasa za kitabu kiitwacho “Sufis and Scholars of the Sea” kilichoandikwa na mtafiti maarufu wa Norway, Profesa Anne Bang, kinachoangazia maisha na nyakati za mwanazuoni huyo mkubwa kabisa wa zama zake na pia safari na maingiliano ya watu kupitia Bahari ya Hindi yalivyochangia kueneza elimu ya dini ya Kiislamu katika miji ya Mwambao wa Afrika Mashariki kwa karne nyingi.

Continue reading “Maisha na Nyakati za Habib Ahmad bin Sumeit kupitia ‘Sufis and Scholars of the Sea’ cha Anne Bang”