Leo kwenye TUFUNUWE KITABU, tunakiangazia kitabu cha “Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru: Zanzibar na Mapinduzi ya Afrabia” kilichoandikwa na Dk. Harith Ghassany, kikijikita kwa kina kwenye tukio la Mapinduzi ya 1964 visiwani Zanzibar.
Continue reading “TUFUNUWE KITABU: Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru”Tag: gumzo la ghassani
TUFUNUWE KITABU: Mafunzo kutoka The Asian Aspiration
Kitabu cha The Asian Aspiration kilizinduliwa mwishoni mwa mwezi Julai 2021 visiwani Zanzibar, na miongoni mwa wageni 50 waliohudhuria kwenye uzinduzi huo ni Ismail Jussa, ambaye kwenye Silsila hii ya kwanza anatudondolea baadhi ya mafunzo ambayo Zanzibar inaweza kujifunza kutoka mataifa ya Asia kuelekea maendeleo na ustawi wa watu wake.
N’na Kwetu: A Poem by an Immigrant
Some 15 years ago, he penned a poem to recall his escape from 1964 atrocities in his homeland, Zanzibar. The tale is about the journey and the new settlement in his new home – Dubai. The poem was beautifully recited by the late Said Hamad (May Allah Bless Him). Enjoy it.
A Chat with a Swahili young poet Bashiru Abdallah
Reading his verses and stanzas written in pure coastal Swahili, one can hardly notice that Bashiru Abdallah was born and raised far away from the sea shores of Tanzania. His mastery of the language is mind-blowing.