Kuna pande mbili za mitazamo kuhusiana na asili ya Wazanzibari: wapo wanaodai kuwa Wazanzibari ni mchanganyiko wa watu wa makabila tofauti kutoka ile iliyokuja kuitwa baadaye Tanganyika na kisha Tanzania Bara – kama vile Bagamoyo, Tanga, Kunduchi na kwengineko. Continue reading “Utani miongoni mwa Waswahili wa Zanzibar”