Nilibahatika kumjua Marehemu Khatib Said Haji katika Bunge la 2015-2020 yeye akiwa wa Konde na mimi wa Malindi kwa tiketi ya Civic United Front. Sikuwa namjua uso kwa uso kabla.
Continue reading “TA’AZIA: Khatib Said, Askari Aliyefia Vitani”Tag: bunge
Nguvu ya Lissu ni kubwa kuliko ya risasi
Sisi wengine tangu siku ya mwanzo akina Nape Nnauye walipokuwa wakitetea uamuzi wa serikali ya awamu ya tano kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya bunge kupitia televisheni ya taifa kwa madai ya kubana matumizi, tulijuwa wameshachelewa. Continue reading “Nguvu ya Lissu ni kubwa kuliko ya risasi”