PODCAST

Mshairi Bashiru Abdallah wa Wino wa Dhahabu

Nina furaha ya kumualika kwenye MSHAIRIKASTI mshairi kijana na mwenye kipaji wa Kiswahili kutoka Tanzania, Bashiru Abdallah, ambaye amechapisha diwani yake ya pili iitwayo Wino wa Dhahabu.