BLOG POSTS

TUFUNUWE KITABU: Abeid Karume (1905-1972)

Leo, Ismail Jussa anatuchambulia kitabu cha wasifu wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Karume, kupitia kitabu cha Ali Shaaban Juma.