BLOG POSTS, BOOKS

TUFUNUWE KITABU: Ahsante, Prof. Abdulrazak Gurnah

“Ahsante, Prof. Abdulrazak Gurnah!” ndiyo maudhui ya leo kwenye TUFUNUWE KITABU na Ismail Jussa, ambapo tunazungumzia nafasi ya kazi za mwanafasihi huyu wa kimataifa na mshindi wa Nishani ya Nobel ya Fasihi 2021 katika kuinyanyuwa hadhi na nafasi ya Zanzibar ulimwenguni.