BLOG POSTS

TUFUNUWE KITABU: Masimulizi ya Sheikh Thabit Kombo Jecha

Sheikh Thabit Kombo Jecha ni miongoni mwa wazee wa Kizanzibari walioshiriki kikamilifu katika siasa za kabla na baada ya uhuru na mapinduzi visiwani Zanzibar akishikilia nafasi mbalimbali ndani ya chama cha Afro-Shiraz Party na baadaye CCM na pia kwenye Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Ismail Jussa anatupitisha leo kwenye kurasa za simulizi za Sheikh Thabit kwa mujibu wa zilivyoandikwa na Kanali Hosana Mdundo wa Jeshi la Wananchi la Tanzania.

Continue reading “TUFUNUWE KITABU: Masimulizi ya Sheikh Thabit Kombo Jecha”
BLOG POSTS

TUFUNUWE KITABU: Sowing the Wind cha Maulid Mshangama

Bwana Maulid Mshangama Haji aliajiriwa katika Utumishi wa Serikali mara aliporejea kutoka masomoni Makerere na akajikuta katika msukosuko baada ya kupingana na Kamishna Mkuu wa Utawala miongoni mwa Maofisa wa Kikoloni wa Kiingereza Zanzibar. Raghba za ujananchi zilimpelekea kuingia kwenye siasa akiunga mkono chama cha Zanzibar Nationalist Party (ZNP) na akawa mmoja miongoni mwa mawaziri vijana kwenye serikali ya mwanzo iliyokuja kupinduliwa Januari 1964. Ismail Jussa anatupitisha kwenye kurasa za kitabu chake “Sowing the Wind: Zanzibar and Pemba Before the Revolution.”

Continue reading “TUFUNUWE KITABU: Sowing the Wind cha Maulid Mshangama”
BLOG POSTS

TUFUNUWE KITABU: Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar cha Hashil Seif

Katika mfululizo ya maandishi yaliyoandikwa juu ya Mapinduzi ya Zanzibar ya Januari 1964, leo Ismail Jussa anatufunulia kurasa za kitabu cha Komredi Hashil Seif Hashil kinachosimulia maisha yake binafsi na ushiriki wake na chama chame cha Umma kwenye tukio hilo lililoibadilisha kabisa Zanzibar.

Continue reading “TUFUNUWE KITABU: Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar cha Hashil Seif”
BLOG POSTS

TUFUNUWE KITABU: Revolution in Zanzibar cha John Okello

Maandishi rasmi ya historia ya Zanzibar yanampuuzia sana John Okello, lakini mwenyewe aliwahi kuandika jinsi ulivyokuwa ushiriki wake kwenye Mapinduzi ya Januari 1964. Leo Ismail Jussa anatupitisha kwenye kurasa za kitabu cha REVOLUTION IN ZANZIBAR chake Okello.

Continue reading “TUFUNUWE KITABU: Revolution in Zanzibar cha John Okello”