Maandishi rasmi ya historia ya Zanzibar yanampuuzia sana John Okello, lakini mwenyewe aliwahi kuandika jinsi ulivyokuwa ushiriki wake kwenye Mapinduzi ya Januari 1964. Leo Ismail Jussa anatupitisha kwenye kurasa za kitabu cha REVOLUTION IN ZANZIBAR chake Okello.