Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani ni katika wanasiasa, wasomi na waandishi wa wakubwa wa Zanzibar ambao kwa bahati mbaya, historia haikuwatendea haki hadi sasa kwa kuutambuwa mchango wake kwenye siasa, elimu na fasihi. Leo Ismail Jussa anachambua kitabu hiki ambacho Sheikh Ali aliandika kusimulia hadithi ya maisha yake.