Leo kwenye TUFUNUWE KITABU, Ismail Jussa anatupitisha katika kurasa za kitabu cha “The Political Animal: An Anatomy” chake Jeremy Paxman kinachohusu wanasiasa na siasa za Uingereza, huku akitupa mfanano na mpishano wake na siasa na wanasiasa wa kwetu.