KISWAHILI KINA WENYEWEN’tasimama Juani May 13, 2016July 28, 2020 Mohammed Ghassani N’tasimama juani Jasho linimiminike Mizizi shingoni itanuke Jembe juu niinuwe Ardhini nilisweke Makoowa niburuge Kisha nipande nafaka Kutoka Diwani ya Kalamu ya Mapinduzi Published by Mohammed Ghassani Multimedia Journalist. Poet. Author. View all posts by Mohammed Ghassani