Kiswahili kina utajiri mkubwa wa misemo, methali na simo, ambazo licha ya kufumbata ujumbe mzito ndani yake, pia hutumiwa na Waswahili wenyewe kuakisi maisha na mazingira yao. Msikilize hapa Bwana Mohammed Said wa Mjini Unguja, ambaye anaufafanua msemo “Usiuchezee upepo wa Kusi kwa tanga bovu”.
Inapendeza