Unaposikia “Batu bawili bana biti bitatu” unafahamu nini? Watu wa kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekuwa wakitumia Kiswahili kwa karne kadhaa sasa, ila suali kubwa ni ikiwa wanatumia Kiswahili cha aina gani? Bonyeza hapa kumsikiliza Mhadhiri wa Kiswahili kwenye Chuo Kikuu cha Lubumbashi, George Mulumbwa akizungumza na Mohammed Khelefjuu ya kukua na kutumika kwa Kiswahili kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Chanzo: Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle