Mazoea ya wengi ni kwamba lugha zinazotumika kama kiunganisho cha watu wenye lugha tafauti za asili (linguafranca) ni lugha za Ulaya kama Kiingereza, Kihispania na Kifaransa kwa Waafrika, lakini sio lugha za Kiafrika.
Lakini bonyeza hapa kuwasikiliza Kelly Askew kutoka Marekani, Mikhail Goromov kutoka Urusi na Uta Reuster-Jahn kutoka Ujerumani wakitumia Kiswahili kama lugha ya kuwasiliana wao kwa wao, huku kila mmoja akiwa na lugha mama iliyo tafauti na mwenzake.
Chanzo: http://www.dw.de/kiswahili-kama-linguafranca-nje-ya-afrika/a-17528771