Yumkini changamoto kubwa kuliko zote kwa wapenzi wa lugha ya Kiswahili ni kuiendeleza lugha hiyo na wakati wakiingiza maneno na miundo ya lugha za kigeni zilizo mbali kabisa na utamaduni wa Mswahili.
Je, Kiswahili kinakumbwa na mabadiliko gani kwa sasa? Na je, kukuwa na kubadilika kwa Kiswahili kunamaanisha kuiondoa lugha hiyo kwenye asili yake? Profesa Farouk Topan, bingwa wa taaluma za Kiswahili anajaribu kujibu maswali haya na mengineyo. Bonyeza hapa kumsikiliza.