Ingawa nadharia pekee inayosomeshwa vyuoni ni kwamba Kiswahili ni Kibantu kwa asili na kwa dhati yake, bado kuna hoja inayosema kwamba asili ya lugha hii ya upwa wa Afrika ya Mashariki ni mchanganyiko.
Katika sehemu hii ya mfululizo wa makala za Kiswahili Kina Wenyewe, Mohammed Khelef anazungumza na mtafiti na mtaalamu wa Sanaa na Lugha kutoka Chuo Kikuu cha Qaboos nchini Oman, Profesa Ibrahim Noor Sharif, ambaye anahoji kwamba Kiswahili kilichopo sasa kimeanza kutumika karne ya 16 baada ya ujio wa Wabantu kwenye eneo la mashariki mwa Afrika, na sio kabla ya hapo.
Bonyeza hapa kusikiliza makala kamili.
Nasoma chuo kikuu cha dodoma, kitivo cha elimu, madam neema luhwago katupatia kazi kuandaa bibliografia ya claude gm mung’ong’o, sasa taarifa za huyu ndugu hatuzipati, tafadhari mwenye taarifa zake kwa ujumla atupie mtandaoni tukamilishe kazi.
Karibuni sana chuoni kwetu udom, real our proud, legarding our facilitators.