Wamezuka limbukeni, kutuletea ghasia
Wanapita chini chini, kuwashawishi raia
Waache kutia kani, hapa tulipofikia
Sasa ni wakati wake, umoja wa kitaifa
Rai yangu hii hapa, nawapa Wazanzibaria
Tunoe visu kwa tupa, makali kuongezea
Tuwachinje hapa hapa, na vizazi vyao pia
Sasa ni wakati wake, umoja wa kitaifa
Seyph Njugu
Zanzibar
09 Mei 2011